Saturday, September 14, 2013

Hii ndio LIVINGSTONE CLUB..!!KUMBUKUMBU ya mkoloni DR David Livingstone

Livingstone Club Bagamoyo-Tanzania

The Club is located on the Eastern African coast at 2 Km from the centre of the adjacent colonial town of Bagamoyo, at 70 Km North of Dar Es Salaam, just opposite Zanzibar Island.

 Swimming pools za maana


Daaaah...!!!!  kwanini isiwe kesho tuende?


hiyo ni kwa juu flani hivi mbona utalia ukikosa..

 ipo pembezoni mwa bahari...!!! hapo michezo mbalimbali itachezwa...

bustani iliotulia.....

Capture the magic of Africa…
Feel the glamour of Indian Ocean…
in homely atmosphere!

Tuesday, August 27, 2013

MATOKEO 2ndSEMISTER 2012/2013 >>>Soon on air..

>>FEW WEEKS REMAINED CHECK HERE RESULTS<< muda si mref matokeo yatakua hewani baada ya baadhi ya vikao departments vya matokeo kuanza kufanyika.. baada ya vikao hvyo hapo ndipo kitaitwishwa kikao na maCR's tuwaombee waalimu wetu wanapoendelea kushughulikia swala la matokeo..

Monday, August 5, 2013

JANGA LA TAIFA-Shule kukosa wanafunzi



Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Azania, Dar es Salaam wakijisomea katika moja ya darasa la kidato cha tano jana. Picha na Venance Nestory 

Takwimu zilizotolewa juzi na Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi kuhusu wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano katika sekondari za Serikali na vyuo vya ualimu mwaka huu zinasononesha na zimethibitisha pasipo kuacha shaka kwamba nchi yetu inaelekea kuzimu katika suala zima la elimu.
   Hatuhitaji kupiga ramli kujua kwamba Serikali isipochukua hatua stahiki haraka iwezekanavyo, hata mafanikio kiduchu tuliyokwisha kuyapata yatapotea na kuiacha sekta nzima ya elimu ikiwa mfu. Tunasema hivyo kutokana na takwimu za kutisha zilizotangazwa na wizara hiyo juzi kuonyesha kwamba kutakuwa na upungufu wa wanafunzi 10,074 wa kidato cha tano katika sekondari zinazomilikiwa na Serikali.
   Picha halisi ni mbaya zaidi kuliko

MANAGERS DAY 2013, mnakaribishwa..

Ni mahafali ya wanafunzi wa mwaka wa mwisho wote wachukuao profesheni ya HUMAN RESOURCE MANAGEMENT ndani ya chuo cha ustawi wa jamii, wageni mbalimbali hualikwa, vyeti hutolewa na programs nyingi hufanyika.. usikose

Sunday, July 21, 2013

BAAAAAAAAAAAASHHH.....!!!!!!


"Ni mara nyingine tena mna malizia mitihani yenu wana ustawi basi hii inaitwa STUDY HARD and PARTY HARDER ni bash after EXAMZ BASH ya kipekee mpaka mwaka utakapo isha ni tamu aje? usikose pale mahala penyewe penye upepo mwanana MBALAMWEZI BEACH CLUB usiku wa IJUMAA TAREHE 26/7 kwa kiingilio cha sh 5000/=  kwa wale watokeao campus nauli BUKU tu level sit...

UKIKOSA sie hatumo mwaka ndo unaisha twende tukawaage finalist wote CERTIFICATE, DIPLOMA 2, NA BACHELA 3, na wale wamalizao mwaka kuingia mwaka mwingine ONE STEP AHEAD twende ukafurahie matunda ulopanda mwaka mzima semister zote mbili hapa naongelea DIP 1, BACH 1, BACH 2...


JIPAAANGEE...!!!!!

Saturday, June 29, 2013

Our new design of t-shirts

RED
RED

BLACK


IHUREMSA is non political, non religious, non governmental and non profitable associations. it is a Human resource student association inside Istitute of social work SW, welcome

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...