Tuesday, August 27, 2013

MATOKEO 2ndSEMISTER 2012/2013 >>>Soon on air..

>>FEW WEEKS REMAINED CHECK HERE RESULTS<< muda si mref matokeo yatakua hewani baada ya baadhi ya vikao departments vya matokeo kuanza kufanyika.. baada ya vikao hvyo hapo ndipo kitaitwishwa kikao na maCR's tuwaombee waalimu wetu wanapoendelea kushughulikia swala la matokeo..

Monday, August 5, 2013

JANGA LA TAIFA-Shule kukosa wanafunzi



Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Azania, Dar es Salaam wakijisomea katika moja ya darasa la kidato cha tano jana. Picha na Venance Nestory 

Takwimu zilizotolewa juzi na Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi kuhusu wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano katika sekondari za Serikali na vyuo vya ualimu mwaka huu zinasononesha na zimethibitisha pasipo kuacha shaka kwamba nchi yetu inaelekea kuzimu katika suala zima la elimu.
   Hatuhitaji kupiga ramli kujua kwamba Serikali isipochukua hatua stahiki haraka iwezekanavyo, hata mafanikio kiduchu tuliyokwisha kuyapata yatapotea na kuiacha sekta nzima ya elimu ikiwa mfu. Tunasema hivyo kutokana na takwimu za kutisha zilizotangazwa na wizara hiyo juzi kuonyesha kwamba kutakuwa na upungufu wa wanafunzi 10,074 wa kidato cha tano katika sekondari zinazomilikiwa na Serikali.
   Picha halisi ni mbaya zaidi kuliko

MANAGERS DAY 2013, mnakaribishwa..

Ni mahafali ya wanafunzi wa mwaka wa mwisho wote wachukuao profesheni ya HUMAN RESOURCE MANAGEMENT ndani ya chuo cha ustawi wa jamii, wageni mbalimbali hualikwa, vyeti hutolewa na programs nyingi hufanyika.. usikose
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...